SW/Prabhupada 0015 - I Am Not This Body: Difference between revisions

(Created page with "<!-- BEGIN CATEGORY LIST --> Category:1080 Swahili Pages with Videos Category:Prabhupada 0015 - in all Languages Category:SW-Quotes - 1966 Category:SW-Quotes - L...")
 
(Vanibot #0023: VideoLocalizer - changed YouTube player to show hard-coded subtitles version)
 
Line 8: Line 8:
[[Category:Swahili Language]]
[[Category:Swahili Language]]
<!-- END CATEGORY LIST -->
<!-- END CATEGORY LIST -->
<!-- BEGIN NAVIGATION BAR -- DO NOT EDIT OR REMOVE -->
{{1080 videos navigation - All Languages|Swahili|SW/Prabhupada 0014 - Devotees Are So Exalted|0014|SW/Prabhupada 0016 - I Want To Work|0016}}
<!-- END NAVIGATION BAR -->
<!-- BEGIN ORIGINAL VANIQUOTES PAGE LINK-->
<!-- BEGIN ORIGINAL VANIQUOTES PAGE LINK-->
<div class="center">
<div class="center">
Line 16: Line 19:

<!-- BEGIN VIDEO LINK -->
<!-- BEGIN VIDEO LINK -->
{{youtube_right|E2mmyfCzxAs|I Am Not This Body - Prabhupāda 0015}}
{{youtube_right|UrGEzp17wek|I Am Not This Body - Prabhupāda 0015}}
<!-- END VIDEO LINK -->
<!-- END VIDEO LINK -->

<!-- BEGIN AUDIO LINK -->
<!-- BEGIN AUDIO LINK -->
<mp3player>http://vaniquotes.org/w/images/661226BG.NY_clip2.mp3</mp3player>
<mp3player>https://s3.amazonaws.com/vanipedia/clip/661226BG.NY_clip2.mp3</mp3player>
<!-- END AUDIO LINK -->
<!-- END AUDIO LINK -->

Line 28: Line 31:

<!-- BEGIN TRANSLATED TEXT -->
<!-- BEGIN TRANSLATED TEXT -->
Kuna dalili sita za kuonyesha uwepo wa roho. Ukuaji ni mojawapo muhimu. Kuwa. Pindi tu roho inatoka kwenye mwili, hakuna ukuaji tena. Mtoto akizaliwa kama amefariki, hakuta kuwa na ukuaji. Oh, wazazi watasema hana maana. Mtupe. Vile vile, Bwana Krishna alipeana mfano wa kwanza kwa Arjuna kuwa, "Usfikiri kuwa roho iliyoko kwenye mwili, ambayo inafanya mwili ukue kutoka utotoni mpaka kufikia ujana, ujanani mpaka uzeeni. Kwa hivyo, wakati mwili huu unakuwa bila maana, bila kuona, roho inaacha mwili." Vāsāṁsi jīrṇāni yathā vihāya ([[Vanisource:BG 2.22|BG 2.22]]). Kama vile tunaacha nguo ya zamani kuchukua ngua nyingine mpya, Vile vile, tunakubali mwili mwingine. Na sio kulingana na mapenzi yetu tunachukua mwili mwingine.  
Kuna dalili sita za kuonyesha uwepo wa roho. Ukuaji ni mojawapo muhimu. Kuwa. Pindi tu roho inatoka kwenye mwili, hakuna ukuaji tena. Mtoto akizaliwa kama amefariki, hakuta kuwa na ukuaji. Oh, wazazi watasema hana maana. Mtupe. Vile vile, Bwana Krishna alipeana mfano wa kwanza kwa Arjuna kuwa, "Usfikiri kuwa roho iliyoko kwenye mwili, ambayo inafanya mwili ukue kutoka utotoni mpaka kufikia ujana, ujanani mpaka uzeeni. Kwa hivyo, wakati mwili huu unakuwa bila maana, bila kuona, roho inaacha mwili." Vāsāṁsi jīrṇāni yathā vihāya ([[Vanisource:BG 2.22 (1972)|BG 2.22]]). Kama vile tunaacha nguo ya zamani kuchukua ngua nyingine mpya, Vile vile, tunakubali mwili mwingine. Na sio kulingana na mapenzi yetu tunachukua mwili mwingine.  

Mapenzi hayo yanategemea sharia ya ulimwengu. Mapenzi hayo yanategemea sharia ya ulimwengu. Huwezi kusema wakati wa kifo, lakini unaweza kufikiria. Unaweza kusema kuwa, yaani mapenzi yote yako hale. Yaṁ yaṁ vāpi smaran loke tyajaty ante kalevaram ([[Vanisource:BG 8.6|BG 8.6]]). Kama vile wakati wa kifo chako, akili yako, vile mafikira yako yatakuwa, utapata maisha mengine, kulingana na mwili huo. Kwa hivyo mtu mwerevu, amabayae hajachizika, Anafaa kuelewa kuwa yeye si mwili huu. Kitu cha kwanza. Mimi si mwili huu. Alafu ataelewa kazi yake ni gani? Oh, mimi kama roho, kazi yangu ni gani?  
Mapenzi hayo yanategemea sharia ya ulimwengu. Mapenzi hayo yanategemea sharia ya ulimwengu. Huwezi kusema wakati wa kifo, lakini unaweza kufikiria. Unaweza kusema kuwa, yaani mapenzi yote yako hale. Yaṁ yaṁ vāpi smaran loke tyajaty ante kalevaram ([[Vanisource:BG 8.6 (1972)|BG 8.6]]). Kama vile wakati wa kifo chako, akili yako, vile mafikira yako yatakuwa, utapata maisha mengine, kulingana na mwili huo. Kwa hivyo mtu mwerevu, amabayae hajachizika, Anafaa kuelewa kuwa yeye si mwili huu. Kitu cha kwanza. Mimi si mwili huu. Alafu ataelewa kazi yake ni gani? Oh, mimi kama roho, kazi yangu ni gani?  

Kazi yake imetajwa kwenye Bhagavad-gītā kwenye mstari wa mwisho, sura ya tisa, kuwa kazi ni man-manā bhava. Unafikiria kitu. Kila mmoja mwetu, ana mwili, tunafikiria kitu. Bila kufikiria kwa lisali moja, huwezi kukaa. Hiyo haiwezekani. Kwa hivyo hii ndio kazi. Umfikirie Krishna. Umfikirie Krishna. Utapaswa kufikiria kitu. Kwa hivyo kuna shida gani ukimfikiria Krishna? Krishna ana vitendo vingi, vitabu vingi, na vitu vingi. Krishna anakuja hapa. Tuna vitabu vingi mno. Ukitaka kumfikiria Krishna tunaweza ku wasambazia vitabu vingi ambavyo hata ukisoma kwa masaa ishirini na nne kila siku kwa maisha yako, huwezi kumaliza. Kwa hivyo kumfikiria Krishna kuna vya kutosha. Mfikirie Krishna. Man-manā bhava. Oh, naweza kukufikiria.  

Latest revision as of 05:14, 12 July 2019

Lecture on BG 9.34 -- New York, December 26, 1966

Kuna dalili sita za kuonyesha uwepo wa roho. Ukuaji ni mojawapo muhimu. Kuwa. Pindi tu roho inatoka kwenye mwili, hakuna ukuaji tena. Mtoto akizaliwa kama amefariki, hakuta kuwa na ukuaji. Oh, wazazi watasema hana maana. Mtupe. Vile vile, Bwana Krishna alipeana mfano wa kwanza kwa Arjuna kuwa, "Usfikiri kuwa roho iliyoko kwenye mwili, ambayo inafanya mwili ukue kutoka utotoni mpaka kufikia ujana, ujanani mpaka uzeeni. Kwa hivyo, wakati mwili huu unakuwa bila maana, bila kuona, roho inaacha mwili." Vāsāṁsi jīrṇāni yathā vihāya (BG 2.22). Kama vile tunaacha nguo ya zamani kuchukua ngua nyingine mpya, Vile vile, tunakubali mwili mwingine. Na sio kulingana na mapenzi yetu tunachukua mwili mwingine.

Mapenzi hayo yanategemea sharia ya ulimwengu. Mapenzi hayo yanategemea sharia ya ulimwengu. Huwezi kusema wakati wa kifo, lakini unaweza kufikiria. Unaweza kusema kuwa, yaani mapenzi yote yako hale. Yaṁ yaṁ vāpi smaran loke tyajaty ante kalevaram (BG 8.6). Kama vile wakati wa kifo chako, akili yako, vile mafikira yako yatakuwa, utapata maisha mengine, kulingana na mwili huo. Kwa hivyo mtu mwerevu, amabayae hajachizika, Anafaa kuelewa kuwa yeye si mwili huu. Kitu cha kwanza. Mimi si mwili huu. Alafu ataelewa kazi yake ni gani? Oh, mimi kama roho, kazi yangu ni gani?

Kazi yake imetajwa kwenye Bhagavad-gītā kwenye mstari wa mwisho, sura ya tisa, kuwa kazi ni man-manā bhava. Unafikiria kitu. Kila mmoja mwetu, ana mwili, tunafikiria kitu. Bila kufikiria kwa lisali moja, huwezi kukaa. Hiyo haiwezekani. Kwa hivyo hii ndio kazi. Umfikirie Krishna. Umfikirie Krishna. Utapaswa kufikiria kitu. Kwa hivyo kuna shida gani ukimfikiria Krishna? Krishna ana vitendo vingi, vitabu vingi, na vitu vingi. Krishna anakuja hapa. Tuna vitabu vingi mno. Ukitaka kumfikiria Krishna tunaweza ku wasambazia vitabu vingi ambavyo hata ukisoma kwa masaa ishirini na nne kila siku kwa maisha yako, huwezi kumaliza. Kwa hivyo kumfikiria Krishna kuna vya kutosha. Mfikirie Krishna. Man-manā bhava. Oh, naweza kukufikiria.

Kama vile mtu ambaye ana mhudumia bosi. Oh, wakati wote anamfikiria bosi huyo. Oh, nafaa kuenda hapo saa tatu na bosi atafurahia. Anafikiria kwa sababu fulani. Mafikira hayo hayatafanya. Na kwa hivyo anasema, bhava mad-bhaktaḥ. "Ni fikiria kwa mapenzi." Wakati Bwana, yaani, wakati mtumishi anamfikiria tajiri, hakuna mapenzi. Anafikiria kwa sababu ya pesa. "Kwa sababu nisipo enda offisini, saa tatu kamili, oh, ntachelewa na ntapoteza pesa." Kwa hivyo hamfikirii tajiri, anafikiria pesa. Mafikira ya aina hii haitatuokoa. akawa hivyo anasema, mad-bhaktaḥ. "Lazima uwe mfuasi wangu. Alafu mafikira yako kwangu yatakuwa mazuri." Na bhakti hiyo ni nini? Mad-bhaktaḥ. Ibada... Ibada inamaanisha huduma. Mad-yājī. Unatoa huduma kwa Bwana. Kama vile tunashughulika hapa kila mara. Wakati wote ukija utatupata tukishughulika na kazi fulani. Kwa hivyo tumevumbua kazi. Ili kumfikiria Krishna tu.