SW/Prabhupada 0031 - Live by my Words, by my Training

The printable version is no longer supported and may have rendering errors. Please update your browser bookmarks and please use the default browser print function instead.


Room Conversation 1 -- November 10, 1977, Vrndavana

Prabhupāda: Kuna vitu viwili: kuishi na kufa. Kwa hivyo nikifa shida iko wapi? Na kama kuna kifo, hiyo ni kawaida.

Jayapatāka: Kwako wewe, Śrīla Prabhupāda, kuwa hai au kufa hakuna tofauti kwa sababu uko kwenye kiwango cha kiroho, lakini kwetu sisi, ukiacha mwili wako tutawachwa bila ushirikiano wako. Kwa hivyo kwetu sisi ni bahati mbaya sana.

Prabhupāda: Ishi kwa maneno yangu, kwa mafunzo yangu. Mm.