SW/Prabhupada 0032 - Whatever I Have to Speak, I Have Spoken in My Books: Difference between revisions

(Created page with "<!-- BEGIN CATEGORY LIST --> Category:1080 Swahili Pages with Videos Category:Prabhupada 0032 - in all Languages Category:SW-Quotes - 1977 Category:SW-Quotes - A...")
 
(Vanibot #0023: VideoLocalizer - changed YouTube player to show hard-coded subtitles version)
 
Line 8: Line 8:
[[Category:Swahili Language]]
[[Category:Swahili Language]]
<!-- END CATEGORY LIST -->
<!-- END CATEGORY LIST -->
<!-- BEGIN NAVIGATION BAR -- DO NOT EDIT OR REMOVE -->
{{1080 videos navigation - All Languages|Swahili|SW/Prabhupada 0031 - Live by my Words, by my Training|0031|SW/Prabhupada 0033 - Mahaprabhu's Name is Patita-pavana|0033}}
<!-- END NAVIGATION BAR -->
<!-- BEGIN ORIGINAL VANIQUOTES PAGE LINK-->
<!-- BEGIN ORIGINAL VANIQUOTES PAGE LINK-->
<div class="center">
<div class="center">
Line 16: Line 19:


<!-- BEGIN VIDEO LINK -->
<!-- BEGIN VIDEO LINK -->
{{youtube_right|XRL-U30KHPw|Whatever I Have To Speak, I Have Spoken In My Books - Prabhupāda 0032}}
{{youtube_right|-ngYyV3jX8o|Whatever I Have To Speak, I Have Spoken In My Books - Prabhupāda 0032}}
<!-- END VIDEO LINK -->
<!-- END VIDEO LINK -->


<!-- BEGIN AUDIO LINK -->
<!-- BEGIN AUDIO LINK -->
<mp3player>http://vaniquotes.org/w/images/770517AR-VRNDAVAN_clip.mp3</mp3player>
<mp3player>https://s3.amazonaws.com/vanipedia/clip/770517AR-VRNDAVAN_clip.mp3</mp3player>
<!-- END AUDIO LINK -->
<!-- END AUDIO LINK -->


Line 28: Line 31:


<!-- BEGIN TRANSLATED TEXT -->
<!-- BEGIN TRANSLATED TEXT -->
Prabhupāda: Kwa hivyo siwezi kuongea. Nahisi ugonjwa sana. Ilikuwa niede sehemu zingine kama vile Chandigarh kuubiri. lakini nika gairi mipango hayo. Kwa sababu hali ya afya yangu ni mbaya sana, Kwa hivyo nikaona niafadhali nije Vṛndāvana. Ikiwa kifo itakuja, wacha inipate hapa. Kwa hivyo hakuna jipya la kusemwa. Lolote ninacho paswa kusema, nishasema kwenye vitabu vyangu. Sasa jaribu kuelewa na uendelee kujitahidi. Haijalishi nikiwa au nisipokuwa, haijalishi. Kama Krishna anaishi daima, vile vile, viumbe pia wanaishi daima. Lakini kīrtir yasya sa jīvati: "Aliye fanya huduma kwa Bwana anaishi milele." Kwa hivyo ushafunzwa ku mhudumia Krishna, na kwa sababu ya Krishna tunaishi daima. Maisha yetu ni daima. Na hanyate hanyamāne śarīre ([[Vanisource:BG 2.20|BG 2.20]]). Kupotea kwa mwili kwa muda mfupi, haijalisha. Sababu ya mwili ni kupotea. Tathā dehāntara-prāptiḥ ([[Vanisource:BG 2.13|BG 2.13]]). Kwa hivyo ishi milele kwa ku mhudumia Krishna. Asante sana.  
Prabhupāda: Kwa hivyo siwezi kuongea. Nahisi ugonjwa sana. Ilikuwa niede sehemu zingine kama vile Chandigarh kuubiri. lakini nika gairi mipango hayo. Kwa sababu hali ya afya yangu ni mbaya sana, Kwa hivyo nikaona niafadhali nije Vṛndāvana. Ikiwa kifo itakuja, wacha inipate hapa. Kwa hivyo hakuna jipya la kusemwa. Lolote ninacho paswa kusema, nishasema kwenye vitabu vyangu. Sasa jaribu kuelewa na uendelee kujitahidi. Haijalishi nikiwa au nisipokuwa, haijalishi. Kama Krishna anaishi daima, vile vile, viumbe pia wanaishi daima. Lakini kīrtir yasya sa jīvati: "Aliye fanya huduma kwa Bwana anaishi milele." Kwa hivyo ushafunzwa ku mhudumia Krishna, na kwa sababu ya Krishna tunaishi daima. Maisha yetu ni daima. Na hanyate hanyamāne śarīre ([[Vanisource:BG 2.20 (1972)|BG 2.20]]). Kupotea kwa mwili kwa muda mfupi, haijalisha. Sababu ya mwili ni kupotea. Tathā dehāntara-prāptiḥ ([[Vanisource:BG 2.13 (1972)|BG 2.13]]). Kwa hivyo ishi milele kwa ku mhudumia Krishna. Asante sana.  


Devotees: Jaya!
Devotees: Jaya!
<!-- END TRANSLATED TEXT -->
<!-- END TRANSLATED TEXT -->

Latest revision as of 05:15, 12 July 2019



Arrival Speech -- May 17, 1977, Vrndavana

Prabhupāda: Kwa hivyo siwezi kuongea. Nahisi ugonjwa sana. Ilikuwa niede sehemu zingine kama vile Chandigarh kuubiri. lakini nika gairi mipango hayo. Kwa sababu hali ya afya yangu ni mbaya sana, Kwa hivyo nikaona niafadhali nije Vṛndāvana. Ikiwa kifo itakuja, wacha inipate hapa. Kwa hivyo hakuna jipya la kusemwa. Lolote ninacho paswa kusema, nishasema kwenye vitabu vyangu. Sasa jaribu kuelewa na uendelee kujitahidi. Haijalishi nikiwa au nisipokuwa, haijalishi. Kama Krishna anaishi daima, vile vile, viumbe pia wanaishi daima. Lakini kīrtir yasya sa jīvati: "Aliye fanya huduma kwa Bwana anaishi milele." Kwa hivyo ushafunzwa ku mhudumia Krishna, na kwa sababu ya Krishna tunaishi daima. Maisha yetu ni daima. Na hanyate hanyamāne śarīre (BG 2.20). Kupotea kwa mwili kwa muda mfupi, haijalisha. Sababu ya mwili ni kupotea. Tathā dehāntara-prāptiḥ (BG 2.13). Kwa hivyo ishi milele kwa ku mhudumia Krishna. Asante sana.

Devotees: Jaya!