SW/Prabhupada 0032 - Whatever I Have to Speak, I Have Spoken in My Books

Revision as of 05:15, 12 July 2019 by Vanibot (talk | contribs) (Vanibot #0023: VideoLocalizer - changed YouTube player to show hard-coded subtitles version)
(diff) ← Older revision | Latest revision (diff) | Newer revision → (diff)


Arrival Speech -- May 17, 1977, Vrndavana

Prabhupāda: Kwa hivyo siwezi kuongea. Nahisi ugonjwa sana. Ilikuwa niede sehemu zingine kama vile Chandigarh kuubiri. lakini nika gairi mipango hayo. Kwa sababu hali ya afya yangu ni mbaya sana, Kwa hivyo nikaona niafadhali nije Vṛndāvana. Ikiwa kifo itakuja, wacha inipate hapa. Kwa hivyo hakuna jipya la kusemwa. Lolote ninacho paswa kusema, nishasema kwenye vitabu vyangu. Sasa jaribu kuelewa na uendelee kujitahidi. Haijalishi nikiwa au nisipokuwa, haijalishi. Kama Krishna anaishi daima, vile vile, viumbe pia wanaishi daima. Lakini kīrtir yasya sa jīvati: "Aliye fanya huduma kwa Bwana anaishi milele." Kwa hivyo ushafunzwa ku mhudumia Krishna, na kwa sababu ya Krishna tunaishi daima. Maisha yetu ni daima. Na hanyate hanyamāne śarīre (BG 2.20). Kupotea kwa mwili kwa muda mfupi, haijalisha. Sababu ya mwili ni kupotea. Tathā dehāntara-prāptiḥ (BG 2.13). Kwa hivyo ishi milele kwa ku mhudumia Krishna. Asante sana.

Devotees: Jaya!