SW/Prabhupada 0023 - Be Krishna Conscious Before Death

From Vanipedia
Jump to: navigation, search
Go-previous.png Previous Page - Video 0022
Next Page - Video 0024 Go-next.png

Be Kṛṣṇa Conscious Before Death - Prabhupāda 0023


Sri Isopanisad Invocation Lecture -- Los Angeles, April 28, 1970

Hivyo hapa imesemakana kuwa ulimwengu una wakati wake maalum kwa mwelekezo wa mkamilifu mzima. Ulimwengu pia ni mwili mkubwa, mwili nyenzo. kama vile mwili wako; kila kitu kinauhusiano. Sayansi ya kisasa, sheria ya kiuhusiano. Chembe, chembe ndogo, mchwa, iko na wakati wake katika dunia hii, pia wewe una muda wako katika dunia hii. Hivyo hivyo hii dunia kubwa, inaweza kaa mamilioni ya miaka , lakini haiwezi kaa milele. hio ni ukweli. Kwa sababu ni kubwa sana inawezabaki kwa mamilioni ya miaka, lakini itaisha. Hio ndio sheria ya maumbile. Na wakati huo muda ukimalizika, hii dunia inamilizwa. kwa mpango kamili wa aliyekamili, mkuu kamili. Wakati muda wako utakamilika, hakuna tena,bwana, katika mwili huyu. Hakuna mtu atakayesimamisha. Huyo mpangilio ni imara sana. huawezi sema, "wacha nibaki tena." Kwa hakika huwa inafanyika. Wakati nilikuwa India, Allahabad, mmoja wa, rafiki anayejulikana, alikuwa tajiri sana. Hivyo alikuwa anakufa. Hivyo alikuwa anauliza daktari, "Tafadhari unaweza nipatia angalau masaa nne ya kuishi? niko na mpango fulani,unaona. Sikuweza kumaliza. Unaona. Āśā-pāśa-śatair baddhāḥ. Hii ni ushetani. Kila mtu hufikiria kuwa "Aha, lazima nifanye hili. Lazima nifanye hili." Hapana. Daktari ama babake daktari au babake, hakuna mwanasayansi anayeweza kusimamisha. "Hapana,mkubwa, miaka nne hakuna. Hata dakika nne hakuna. Lazima uende mara moja." Hii ndio sheria. Kwa hivyo kabla ya wakati kutimia, mtu anafaa kuwa shupafu kabisa katika Ufahamu wa Kṛṣṇa. Tūrṇam yateta. Tūrṇam inamaanisha kwa upesi , kwa haraka unafaa kutambua Ufahamu wa Kṛṣṇa. Anu...halafu, kabla ya kifo. pili kifo chaja, lazima umalize biashara yako. hio ndio akili. La sivyo unashindwa. Asanteni.