SW/Prabhupada 0001 - Expand to Ten Million: Difference between revisions

(Created page with "<!-- BEGIN CATEGORY LIST --> Category:SW-Quotes - 1975 Category:SW-Quotes - Lectures, Caitanya-caritamrta Category:SW-Quotes - in India Category:SW-Quotes - in I...")
 
(Vanibot #0023: VideoLocalizer - changed YouTube player to show hard-coded subtitles version)
 
Line 1: Line 1:
<!-- BEGIN CATEGORY LIST -->
<!-- BEGIN CATEGORY LIST -->
[[Category:1080 Swahili Pages with Videos]]
[[Category:Prabhupada 0001 - in all Languages]]
[[Category:SW-Quotes - 1975]]
[[Category:SW-Quotes - 1975]]
[[Category:SW-Quotes - Lectures, Caitanya-caritamrta]]
[[Category:SW-Quotes - Lectures, Caitanya-caritamrta]]
[[Category:SW-Quotes - in India]]
[[Category:SW-Quotes - in India]]
[[Category:SW-Quotes - in India, Mayapur]]
[[Category:SW-Quotes - in India, Mayapur]]
[[Category:1080 Swahili Pages with Videos]]
[[Category:First 11 Pages in all Languages]]
[[Category:Swahili Language]]
[[Category:Swahili Language]]
[[Category:First 11 Pages in all Languages]]
<!-- END CATEGORY LIST -->
<!-- END CATEGORY LIST -->
<!-- BEGIN NAVIGATION BAR -- DO NOT EDIT OR REMOVE -->
{{1080 videos navigation - All Languages|Swahili|SW/Prabhupada 1080 - Muhtasari kwenye Bhagavad-gita - Mungu mmoja ni Krishna. Krishna sio Mungu wa kidini|1080|SW/Prabhupada 0002 - Madman Civilisation|0002}}
<!-- END NAVIGATION BAR -->
<!-- BEGIN ORIGINAL VANIQUOTES PAGE LINK-->
<!-- BEGIN ORIGINAL VANIQUOTES PAGE LINK-->
<div class="center">
<div class="center">
Line 16: Line 20:

<!-- BEGIN VIDEO LINK -->
<!-- BEGIN VIDEO LINK -->
{{youtube_right|TG60mjnVoaw|Expand to Ten Million - Prabhupāda 0001}}
{{youtube_right|B0lEb-Lyg3c|Expand to Ten Million - Prabhupāda 0001}}
<!-- END VIDEO LINK -->
<!-- END VIDEO LINK -->

<!-- BEGIN AUDIO LINK -->
<!-- BEGIN AUDIO LINK -->
<mp3player>http://vaniquotes.org/w/images/750406CC.MAY_clip.mp3</mp3player>
<mp3player>https://s3.amazonaws.com/vanipedia/clip/750406CC.MAY_clip.mp3</mp3player>
<!-- END AUDIO LINK -->
<!-- END AUDIO LINK -->

Line 28: Line 32:

<!-- BEGIN TRANSLATED TEXT -->
<!-- BEGIN TRANSLATED TEXT -->
TRANSLATION
Prabhupada: Caitanya Mahaprabhu anasema kwa ācārya wote Nityānanda Prabhu, Advaita Prabhu na Śrīvāsādi-gaura-bhakta-vṛnda wote wanafuata amri za Sri Caitanya Mahaprabhu. kwa hivyo jaribu kufuata njia ya ācārya. Na maisha itakuwa na fanaka. Na Kuwa ācārya sio ngumu. Kwanza kuwa mfanikazi mwaminify kwa mwalimu wako wa kiroho. ufuate kwa makini chochote anachosema. Jaribu kumfurahisha na kueneza ujumbe wa Kṛṣṇa. Ni hayo tu, sio ngumu hata kamwe. Jaribu kufuata amri za mwalimu wako wa kiroho na kueneza ujumbe wa Krsna. Hilo ndilo amri la Lord Caitanya.
 
:āmāra ajñāya guru hañā tāra' ei deśa
:yāre dekha tāre kaha 'kṛṣṇa'-upadeśa
:([[Vanisource:CC Madhya 7.128|CC Madhya 7.128]])
 
"Kwa kufuata amri yangu, wewe kuwa guru." Na kama tutafuata kwa makini hii njia ya ācārya na tujaribu kwa uwezo wetu wote kueneza ujumbe wa Kṛṣṇa. Yāre dekha tāre kaha 'kṛṣṇa'-upadeśa ([[Vanisource:CC Madhya 7.128|CC Madhya 7.128]]). Kuna aina mbili za Kṛṣṇa Upadesa. Upadesa inamaanisha amri. Amri Krsna anayopatiana pia ni Kṛṣṇa Upadesa, na amri kumhusu Krsna pia ni Krsna Upadesa. Kṛṣṇasya upadeśa iti kṛṣṇa upadeśa. Samāsa, śāsti-tat-puruṣa-samāsa. Na Kṛṣṇa viṣayā upadeśa, hiyo pia ni Kṛṣṇa upadeśa. Bāhu-vrīhi-samāsa. Hiyo ndio njia ya kukagua lugha ya sanskrit. Kwa hivyo amri ya Kṛṣṇa ni Bhagavad-Gita. Anatupatia amri mwenyewe. Kwa hivyo anayeeneza Krsna Upadesa, rudia tu Krsna analosema, na unakuwa ācārya. Sio ngumu hata kidogo, kila kitu kimesemekana hapo. Tunafaa turudie tu kama kasuku. Sio kabisa kama kasuku, kasuku haelewi anachosema, hurudia tu. Unafaa kuelewa maana pia; ama utawezaje kueleza? Kwa hivyo tunataka kueneza ujumbe wa Kṛṣṇa. Jitayarishe tu kurudia amri za Krsna vizuri sana, bila kugeuzaq maana. Na hapo mbele, labda saa hii kuna wafuasi elfu kumi. Tutaongezeka hadi elfu mia moja. Hiyo inatakikana, tena elfu mia moja hadi millioni moja, na millioni moja hadi millioni kumi!
 
Devotees: Haribol! Jaya!
 
Prabhupada: Na hatutakosa ācārya, na watu wataelewa ujumbe wa Krsna kwa urahisi. Kwa hivyo, fanya hiyo mpango. Na usijiskie sana. Fuata amri ya ācārya na ujaribu nkuwa bila kosa, na uwe umekomaa. Na itakuwa rahisi kupigana na māyā. Ndio Ācāryas wanafanya vita na vitendo vya māyā.
<!-- END TRANSLATED TEXT -->
<!-- END TRANSLATED TEXT -->

Latest revision as of 05:13, 12 July 2019

Lecture on CC Adi-lila 1.13 -- Mayapur, April 6, 1975

Prabhupada: Caitanya Mahaprabhu anasema kwa ācārya wote Nityānanda Prabhu, Advaita Prabhu na Śrīvāsādi-gaura-bhakta-vṛnda wote wanafuata amri za Sri Caitanya Mahaprabhu. kwa hivyo jaribu kufuata njia ya ācārya. Na maisha itakuwa na fanaka. Na Kuwa ācārya sio ngumu. Kwanza kuwa mfanikazi mwaminify kwa mwalimu wako wa kiroho. ufuate kwa makini chochote anachosema. Jaribu kumfurahisha na kueneza ujumbe wa Kṛṣṇa. Ni hayo tu, sio ngumu hata kamwe. Jaribu kufuata amri za mwalimu wako wa kiroho na kueneza ujumbe wa Krsna. Hilo ndilo amri la Lord Caitanya.

āmāra ajñāya guru hañā tāra' ei deśa
yāre dekha tāre kaha 'kṛṣṇa'-upadeśa
(CC Madhya 7.128)

"Kwa kufuata amri yangu, wewe kuwa guru." Na kama tutafuata kwa makini hii njia ya ācārya na tujaribu kwa uwezo wetu wote kueneza ujumbe wa Kṛṣṇa. Yāre dekha tāre kaha 'kṛṣṇa'-upadeśa (CC Madhya 7.128). Kuna aina mbili za Kṛṣṇa Upadesa. Upadesa inamaanisha amri. Amri Krsna anayopatiana pia ni Kṛṣṇa Upadesa, na amri kumhusu Krsna pia ni Krsna Upadesa. Kṛṣṇasya upadeśa iti kṛṣṇa upadeśa. Samāsa, śāsti-tat-puruṣa-samāsa. Na Kṛṣṇa viṣayā upadeśa, hiyo pia ni Kṛṣṇa upadeśa. Bāhu-vrīhi-samāsa. Hiyo ndio njia ya kukagua lugha ya sanskrit. Kwa hivyo amri ya Kṛṣṇa ni Bhagavad-Gita. Anatupatia amri mwenyewe. Kwa hivyo anayeeneza Krsna Upadesa, rudia tu Krsna analosema, na unakuwa ācārya. Sio ngumu hata kidogo, kila kitu kimesemekana hapo. Tunafaa turudie tu kama kasuku. Sio kabisa kama kasuku, kasuku haelewi anachosema, hurudia tu. Unafaa kuelewa maana pia; ama utawezaje kueleza? Kwa hivyo tunataka kueneza ujumbe wa Kṛṣṇa. Jitayarishe tu kurudia amri za Krsna vizuri sana, bila kugeuzaq maana. Na hapo mbele, labda saa hii kuna wafuasi elfu kumi. Tutaongezeka hadi elfu mia moja. Hiyo inatakikana, tena elfu mia moja hadi millioni moja, na millioni moja hadi millioni kumi!