SW/Prabhupada 0009 - The Thief Who Became A Devotee: Difference between revisions

(Created page with "<!-- BEGIN CATEGORY LIST --> Category:1080 Swahili Pages with Videos Category:Prabhupada 0009 - in all Languages Category:SW-Quotes - 1972 Category:SW-Quotes - L...")
 
(Vanibot #0023: VideoLocalizer - changed YouTube player to show hard-coded subtitles version)
 
Line 9: Line 9:
[[Category:Swahili Language]]
[[Category:Swahili Language]]
<!-- END CATEGORY LIST -->
<!-- END CATEGORY LIST -->
<!-- BEGIN NAVIGATION BAR -- DO NOT EDIT OR REMOVE -->
{{1080 videos navigation - All Languages|Swahili|SW/Prabhupada 0008 - Krsna Claims That 'I Am Everyone's Father'|0008|SW/Prabhupada 0010 - Don't Try To Imitate Krishna|0010}}
<!-- END NAVIGATION BAR -->
<!-- BEGIN ORIGINAL VANIQUOTES PAGE LINK-->

<div class="center">
<div class="center">
Line 17: Line 20:

<!-- BEGIN VIDEO LINK -->
<!-- BEGIN VIDEO LINK -->
{{youtube_right|M1V0-fsUuPM|The Thief Who Became A Devotee - Prabhupāda 0009}}
{{youtube_right|VRm4SvpxoZE|The Thief Who Became A Devotee - Prabhupāda 0009}}
<!-- END VIDEO LINK -->
<!-- END VIDEO LINK -->

<!-- BEGIN AUDIO LINK -->
<!-- BEGIN AUDIO LINK -->
<mp3player>http://vaniquotes.org/w/images/720815SB.LA_clip.mp3</mp3player>
<mp3player>https://s3.amazonaws.com/vanipedia/clip/720815SB.LA_clip.mp3</mp3player>
<!-- END AUDIO LINK -->
<!-- END AUDIO LINK -->

Line 29: Line 32:

<!-- BEGIN TRANSLATED TEXT -->
<!-- BEGIN TRANSLATED TEXT -->
Krishna anasema kwenye Bhagavad-gītā: ([[Vanisource:BG 7.25|BG 7.25]]) nāhaṁ prakāśaḥ sarvasya yoga-māyā-samāvṛtaḥ ''Sijithiirishi kwa kila mtu. Yogamāyā, yogamāyā inafunika," Kwa hivyo utamwonaje Mungu? Huu ni ujinga unaendelea, Kuwa "Unaweza kunionyesha Mungu? Umewai kumwona Mungu?" Mungu amekuwa kama kitu cha kuchezea. Huyu hapa Mungu. Yeye ni Mungu ameshuka duniani." ([[Vanisource:BG 7.15|BG 7.15]]) Na māṁ duṣkṛtino mūḍhāḥ prapadyante narādhamāḥ Ni wenye dhambi, mtwana, wajinga, binaadm mwenye kiwango cha chini zaidi. Wanauliza hivyo. "Unaweza kunionyesha Mungu?" Umefuzu nini kumwona Mungu? Hili ndio la kufuzu. Iyo ni nini? Tac chraddadhānā munayaḥ. Mtu kwanza lazima awe mwaminifu. Mwaminifu. Śraddadhānāḥ. Kwa kweli, lazima awe na hamu ya kumwona Mungu. Sio hivi hivi ati "Unaweza kunionyesha Mungu?" Kiinimacho, ni kama Mungu ni kiinimacho La. Lazima awe mwaminifu sana: "Ndiyo, kama kuna Mungu... Tumeona, tumepashwa kumhusu Mungu. Kwa hivyo lazima nione."  
Krishna anasema kwenye Bhagavad-gītā: ([[Vanisource:BG 7.25 (1972)|BG 7.25]]) nāhaṁ prakāśaḥ sarvasya yoga-māyā-samāvṛtaḥ "Sijithiirishi kwa kila mtu. Yogamāyā, yogamāyā inafunika," Kwa hivyo utamwonaje Mungu? Huu ni ujinga unaendelea, Kuwa "Unaweza kunionyesha Mungu? Umewai kumwona Mungu?" Mungu amekuwa kama kitu cha kuchezea. Huyu hapa Mungu. Yeye ni Mungu ameshuka duniani." ([[Vanisource:BG 7.15 (1972)|BG 7.15]]) Na māṁ duṣkṛtino mūḍhāḥ prapadyante narādhamāḥ Ni wenye dhambi, mtwana, wajinga, binaadm mwenye kiwango cha chini zaidi. Wanauliza hivyo. "Unaweza kunionyesha Mungu?" Umefuzu nini kumwona Mungu? Hili ndio la kufuzu. Iyo ni nini? Tac chraddadhānā munayaḥ. Mtu kwanza lazima awe mwaminifu. Mwaminifu. Śraddadhānāḥ. Kwa kweli, lazima awe na hamu ya kumwona Mungu. Sio hivi hivi ati "Unaweza kunionyesha Mungu?" Kiinimacho, ni kama Mungu ni kiinimacho La. Lazima awe mwaminifu sana: "Ndiyo, kama kuna Mungu... Tumeona, tumepashwa kumhusu Mungu. Kwa hivyo lazima nione."  

Kuna hadithi kwenye muungano huu. Ina mafunzo mengi sana; Jribu kuskia. Msomaji mmoja mtaalam alikuwa akisoma kuhusu Bhāgavata, na alikuwa akieleza kuwa Krishna, amepambwa na majohari yote, Anatumwa kulinda ng'ombe msituni. Kulikuwa na mwizi kwenye huo mkutano. Kwa hivyo akafikiria kuwa "Mbona nisiende Vṛndāvana nimwibe kijana huyu? Yuko msituni na majohari mengi. Naeza kwenda nimshike na nichukue johari zote." Hiyo ndio ilikuwa niya yake. Kwa hivyo alikuwa na ujasiri kuwa, "Lazima nimpate kijana huyo. Na siku moja ntakuwa tajri. Majohari mengi. Sio" Kwa hivyo alienda, na fuzo lake ni kuwa. "Lazima nimwone Krishna, Lazima nimwone Krishna." Wasi wasi huo, hamu hiyo, ilimwezesha kumwona Krishna. Alimwona Krishna kma alivyo ambiwa na msomaji wa Bhāgavata Alafu akaona, "Oh, oh, wewe ni kijana mzuri sana, Krishna." Kwa hivyo alianza kumisfu. Alidhani kuwa "Nikimsifu, ntachukua johari zote." Kwa hivyo alipopendekeza lengo lake, "Kwa hivyo naweza kuchua mapambo haya? Wewe ni tajiri sana." "La, la, la. Wewe... Mamangu atakasirika. Siwezi..." Krishna kama mtoto. Kwa hivyo alikuwa na hamu zaidi na zaidi kwa Krishna. Alafu... Kwa kushirikiana na Krishna , alikuwa tayari amesafishwa. Na hatimaye, Krishna akasema, "Sawa basi, chukua." Alafu akawa mfuasi, mara moja. Kwa sababu kutokana na kushirikiana na Krishna...  

Latest revision as of 05:13, 12 July 2019

Lecture on SB 1.2.12 -- Los Angeles, August 15, 1972

Krishna anasema kwenye Bhagavad-gītā: (BG 7.25) nāhaṁ prakāśaḥ sarvasya yoga-māyā-samāvṛtaḥ "Sijithiirishi kwa kila mtu. Yogamāyā, yogamāyā inafunika," Kwa hivyo utamwonaje Mungu? Huu ni ujinga unaendelea, Kuwa "Unaweza kunionyesha Mungu? Umewai kumwona Mungu?" Mungu amekuwa kama kitu cha kuchezea. Huyu hapa Mungu. Yeye ni Mungu ameshuka duniani." (BG 7.15) Na māṁ duṣkṛtino mūḍhāḥ prapadyante narādhamāḥ Ni wenye dhambi, mtwana, wajinga, binaadm mwenye kiwango cha chini zaidi. Wanauliza hivyo. "Unaweza kunionyesha Mungu?" Umefuzu nini kumwona Mungu? Hili ndio la kufuzu. Iyo ni nini? Tac chraddadhānā munayaḥ. Mtu kwanza lazima awe mwaminifu. Mwaminifu. Śraddadhānāḥ. Kwa kweli, lazima awe na hamu ya kumwona Mungu. Sio hivi hivi ati "Unaweza kunionyesha Mungu?" Kiinimacho, ni kama Mungu ni kiinimacho La. Lazima awe mwaminifu sana: "Ndiyo, kama kuna Mungu... Tumeona, tumepashwa kumhusu Mungu. Kwa hivyo lazima nione."

Kuna hadithi kwenye muungano huu. Ina mafunzo mengi sana; Jribu kuskia. Msomaji mmoja mtaalam alikuwa akisoma kuhusu Bhāgavata, na alikuwa akieleza kuwa Krishna, amepambwa na majohari yote, Anatumwa kulinda ng'ombe msituni. Kulikuwa na mwizi kwenye huo mkutano. Kwa hivyo akafikiria kuwa "Mbona nisiende Vṛndāvana nimwibe kijana huyu? Yuko msituni na majohari mengi. Naeza kwenda nimshike na nichukue johari zote." Hiyo ndio ilikuwa niya yake. Kwa hivyo alikuwa na ujasiri kuwa, "Lazima nimpate kijana huyo. Na siku moja ntakuwa tajri. Majohari mengi. Sio" Kwa hivyo alienda, na fuzo lake ni kuwa. "Lazima nimwone Krishna, Lazima nimwone Krishna." Wasi wasi huo, hamu hiyo, ilimwezesha kumwona Krishna. Alimwona Krishna kma alivyo ambiwa na msomaji wa Bhāgavata Alafu akaona, "Oh, oh, wewe ni kijana mzuri sana, Krishna." Kwa hivyo alianza kumisfu. Alidhani kuwa "Nikimsifu, ntachukua johari zote." Kwa hivyo alipopendekeza lengo lake, "Kwa hivyo naweza kuchua mapambo haya? Wewe ni tajiri sana." "La, la, la. Wewe... Mamangu atakasirika. Siwezi..." Krishna kama mtoto. Kwa hivyo alikuwa na hamu zaidi na zaidi kwa Krishna. Alafu... Kwa kushirikiana na Krishna , alikuwa tayari amesafishwa. Na hatimaye, Krishna akasema, "Sawa basi, chukua." Alafu akawa mfuasi, mara moja. Kwa sababu kutokana na kushirikiana na Krishna...

Kwa hivyo, kwa njia moja au nyingine, lazima tushikamane na Krishna. Kwa njia moja au nyigine. Halafu tutasafishwa.