SW/Prabhupada 0016 - I Want To Work: Difference between revisions

(Created page with "<!-- BEGIN CATEGORY LIST --> Category:1080 Swahili Pages with Videos Category:Prabhupada 0016 - in all Languages Category:SW-Quotes - 1968 Category:SW-Quotes - L...")
 
(Vanibot #0023: VideoLocalizer - changed YouTube player to show hard-coded subtitles version)
 
Line 8: Line 8:
[[Category:Swahili Language]]
[[Category:Swahili Language]]
<!-- END CATEGORY LIST -->
<!-- END CATEGORY LIST -->
<!-- BEGIN NAVIGATION BAR -- DO NOT EDIT OR REMOVE -->
{{1080 videos navigation - All Languages|Swahili|SW/Prabhupada 0015 - I Am Not This Body|0015|SW/Prabhupada 0017 - Two energies are working in this material world: the spiritual energy and the material energy|0017}}
<!-- END NAVIGATION BAR -->
<!-- BEGIN ORIGINAL VANIQUOTES PAGE LINK-->
<!-- BEGIN ORIGINAL VANIQUOTES PAGE LINK-->
<div class="center">
<div class="center">
Line 16: Line 19:


<!-- BEGIN VIDEO LINK -->
<!-- BEGIN VIDEO LINK -->
{{youtube_right|KbYtV8Q98pY|I Want To Work - Prabhupāda 0016}}
{{youtube_right|WpMcsUBhcSQ|I Want To Work - Prabhupāda 0016}}
<!-- END VIDEO LINK -->
<!-- END VIDEO LINK -->


<!-- BEGIN AUDIO LINK -->
<!-- BEGIN AUDIO LINK -->
<mp3player>http://vaniquotes.org/w/images/680317BG-SF_clip.mp3</mp3player>
<mp3player>https://s3.amazonaws.com/vanipedia/clip/680317BG-SF_clip.mp3</mp3player>
<!-- END AUDIO LINK -->
<!-- END AUDIO LINK -->



Latest revision as of 05:14, 12 July 2019



Lecture on BG 7.1 -- San Francisco, March 17, 1968

Kwa hivyo mtu lazima ajuwe vile anaweza kuungana na Krishna. Krishna yuko kila mahali. Hii ndio harakati ya ufahamu wa Krishna. Hii ndio Ufahamu wa Krishna. Mtu lazima ajue atakavyo mtoa kwenye maumbile haya ya Krishna kwenye mbao au chuma... haijalishi. Krishna yuko kila mahali. Lazima ujifunze jinsi ya kuungana na Krishna kwa kila kitu. Hayo yataelezwa kwenye mfumo huu wa yoga. Utajifunza. Kwa hivyo ufahamu wa Krishna pia ni yoga, yoga halisi, ya juu zaidi ya mifumo mingine ya yoga. Yeyote, yogi yeyote anaweza kuja na akatishia na tukasema kuwa hii ndio mfumo wa yoga nambari moja. Hii ni nambari moja, na ni rahisi mno wakati huo huo. Sio lazima ufanye mazoezi ya kimwili. Tuseme una udhaifu au unahisi uchovu, lakini kwenye ufahamu wa Krishna hautasikia. Wanafunzi wetu wote, wanatamani kupewa kazi nyingi, ufahamu wa Krishna. "Swamiji, nitafanya nini? Nitafanya nini?" Kwa kweli wanafanya vizuri sana. Vizuri sana. Hawa hisi uchovu. Hiyo ni ufahamu wa Krishna.# Duniani, ukifanya kazi kwa muda fulani, utaskia uchovu. Utapumzika. Kama kawaida, si kujisifu. Mimi ni mzee mwenye miaka sabini na mbili. Oh, nilikuwa mgonjwa. Nikarudi India. Nimekuja tena. Nataka kufanya kazi! Nataka kufanya kazi. Kawaida, nimestaafu kwa kzi hizi zote, lakini sihisi... Ila tu naweza kuifanya, nataka kufanya kazi. Nataka... usiku na mchana. Usiku na fanya kazi na diktafoni. Naomboleza nisipoweza kufanya kazi. Hiyo ndio ufahamu wa Krishna. Mtu lazime awe na tamaa ya kufanya kazi. Sio ati ni jamii ya watu walio kosa kazi. La! Tuna kazi za kutosha. Wanahariri vitabu, wanauza vitabu. Tafuta tu njia ambayo ufahamu wa Krishna unaweza kuenezwa, hivi. Hii ni ukweli.