SW/Prabhupada 0019 - Whatever You are Hearing, You Should Say to Others: Difference between revisions

(Created page with "<!-- BEGIN CATEGORY LIST --> Category:1080 Swahili Pages with Videos Category:Prabhupada 0019 - in all Languages Category:SW-Quotes - 1967 Category:SW-Quotes - L...")
 
(Vanibot #0023: VideoLocalizer - changed YouTube player to show hard-coded subtitles version)
 
Line 8: Line 8:
[[Category:Swahili Language]]
[[Category:Swahili Language]]
<!-- END CATEGORY LIST -->
<!-- END CATEGORY LIST -->
<!-- BEGIN NAVIGATION BAR -- DO NOT EDIT OR REMOVE -->
{{1080 videos navigation - All Languages|Swahili|SW/Prabhupada 0017 - Two energies are working in this material world: the spiritual energy and the material energy|0017|SW/Prabhupada 0020 - To Understand Krishna is not So Easy Thing|0020}}
<!-- END NAVIGATION BAR -->
<!-- BEGIN ORIGINAL VANIQUOTES PAGE LINK-->
<!-- BEGIN ORIGINAL VANIQUOTES PAGE LINK-->
<div class="center">
<div class="center">
Line 16: Line 19:


<!-- BEGIN VIDEO LINK -->
<!-- BEGIN VIDEO LINK -->
{{youtube_right|ggYtGkXWnD0|Whatever You are Hearing, You Should Say to Others - Prabhupāda 0019}}
{{youtube_right|5DnLDJyq5n4|Whatever You are Hearing, You Should Say to Others - Prabhupāda 0019}}
<!-- END VIDEO LINK -->
<!-- END VIDEO LINK -->


<!-- BEGIN AUDIO LINK -->
<!-- BEGIN AUDIO LINK -->
<mp3player>http://vaniquotes.org/w/images/670323SB-SF_clip.mp3</mp3player>
<mp3player>https://s3.amazonaws.com/vanipedia/clip/670323SB-SF_clip.mp3</mp3player>
<!-- END AUDIO LINK -->
<!-- END AUDIO LINK -->



Latest revision as of 05:14, 12 July 2019



Jagannatha Deities Installation Srimad-Bhagavatam 1.2.13-14 -- San Francisco, March 23, 1967

Tuseme unataka kunijua au kujua kitu kunihusu, Unaweza kummuliza rafiki, "Oh Swamiji yukoje?" Anaweza kusema kitu; mwingine aseme kitu kingine. Lakini nikikueleza mimi mwenyewe, "Hii ndio hali yangu. Mimi niko hivi," hiyo imekamilika. Imekamilika Kwa hivyo ukitaka kujua kumhusu Mungu Mwenyenzi Mkuu, Huwezi kubaatisha, wala kutafakari. Haiwezekani, kwa sababu fahamu zako zina kasoro. Kwa hivyo njia ni ipi? Sikiza kutoka kwake. Kwa hivyo kwa ukarimu wake amekuja kunena Bhagavad-gītā. Śrotavyaḥ: "Jaribu tu kusikiza." Śrotavyaḥ na kīrtitavyaś ca. Ukisikiza tu na usikie kwenye darasa la Krishna consciousness, na uende nje na usahau, oh, hiyo si vizuri. Hiyo haita kuboresha Kwa hivyo hii ni nini? Kīrtitavyaś ca: "Chochote unacho sikiza unafaa kuwaambia wengine." Hiyo ni Ukamilifu.

Kwa hivyo tumefumbua jarida la Back to Godhead. Wanafunzi wanaruhusiwa, lolote wanachosikia, lazima waandike kwa maakini. Kīrtitavyaś ca. Sio kusikia pekee. "Oh nimekuwa nikisikia kwa mamilioni ya miaka; bado, siwezi kuelewa" -kwa sababu haukariri, haurudii ulicho sikia. Lazima urudie. Kīrtitavyaś ca. śrotavyaḥ kīrtitavyaś ca dhyeyaḥ. Na unawezaje kuandika au kuandika ila utakapo mfikiria? Unasikia kumhusu Krishna, unafaa kufikiria, alafu unaweza kuongea. Kama sivyo haiwezekani. Kwa hivyo śrotavyaḥ kīrtitavyaś ca dhyeyaḥ and pūjyaś ca. Na umwabudu. Kwa hivyo tunahitaji huu mfano wa kuabudu. Lazima tusikize na lazima tunene, lazima tusikie, lazima tuabudu, pūjyaś ca... Alafu kidogo kidogo? Hapana Nityadā: Mara kwa mara. Nityadā, hii ndio njia. Kwa hivyo mtu yeyeote amabaye anfuata njia hii, anaweza kumwelewa Mwenyezi Mungu. Hilo ndio tangazo la Śrīmad-Bhāgavatam.