SW/Prabhupada 1058 - Msemaji wa Bhagavad-gita ni Bwana Krishna: Difference between revisions

(Created page with "<!-- BEGIN CATEGORY LIST --> Category:1080 Swahili Pages with Videos Category:Prabhupada 1058 - in all Languages Category:SW-Quotes - 1966 Category:SW-Quotes - L...")
 
(Vanibot #0023: VideoLocalizer - changed YouTube player to show hard-coded subtitles version)
 
Line 10: Line 10:
[[Category:Swahili Language]]
[[Category:Swahili Language]]
<!-- END CATEGORY LIST -->
<!-- END CATEGORY LIST -->
<!-- BEGIN NAVIGATION BAR -- DO NOT EDIT OR REMOVE -->
{{1080 videos navigation - All Languages|Swahili|SW/Prabhupada 1057 - Tuepushe kutokana na matendo pamoja na matokeo ya matendo yetu yote|1057|SW/Prabhupada 1059 - Kila mmoja ana uhusiano flani na Bwana|1059}}
<!-- END NAVIGATION BAR -->
<!-- BEGIN ORIGINAL VANIQUOTES PAGE LINK-->
<!-- BEGIN ORIGINAL VANIQUOTES PAGE LINK-->
<div class="center">
<div class="center">
Line 18: Line 21:


<!-- BEGIN VIDEO LINK -->
<!-- BEGIN VIDEO LINK -->
{{youtube_right|pVcDfltwftQ|The Speaker of the Bhagavad-gita is Lord Sri Krishna - Prabhupāda 1058}}
{{youtube_right|rA_V3TBY3mo|The Speaker of the Bhagavad-gita is Lord Sri Krishna - Prabhupāda 1058}}
<!-- END VIDEO LINK -->
<!-- END VIDEO LINK -->


<!-- BEGIN AUDIO LINK -->
<!-- BEGIN AUDIO LINK -->
<mp3player>File:660219BG-NEW_YORK_clip02.mp3</mp3player>
<mp3player>https://s3.amazonaws.com/vanipedia/clip/660219BG-NEW_YORK_clip02.mp3</mp3player>
<!-- END AUDIO LINK -->
<!-- END AUDIO LINK -->


Line 30: Line 33:


<!-- BEGIN TRANSLATED TEXT -->
<!-- BEGIN TRANSLATED TEXT -->
Msemaji wa Bhagavad-gita ni Bwana Krishna Msemaji wa Bhagavad-gita ni Bwana Krishna. Anatajwa katika kila ukurasa wa Bhagavad-gītā, kama Mungu mkuu aliye na utu, Bhagavān. Bila shaka, "bhagavān" inatumika wakati mwengine tunapo ongea kuhusu mtu yeyote aliye na nguvu au malaika yeyote aliye na nguvu, lakini hapa bhagavān kwa hakika inamrejelea Śrī Kṛṣṇa, mtu mkubwa ajabu, wakati huo huo lazima tujue kuwa Bwana Śrī Kṛṣṇa, kama alivyo thibitishwa na walimu wote watangulizi... Śaṅkarācārya, Rāmānujācārya, Madhvācārya, Nimbārka Svāmī na Śrī Caitanya Mahāprabhu na wengine wengi. Kule India kulikuwa na wasomi na walimu wengi walio kubalika, yaani walio kubalika kumiliki maarifa ya Vedasi. Wote pamoja na Śaṅkarācārya, wamemkubali Śrī Kṛṣṇa kama Mungu mkuu. Bwana pia amejitambulisha mwenyewe kama Mungu mkuu katika kurasa za Bhagavad-gītā. Amekubalika kwenye Brahmā-saṁhitā na Purāṇa zote, sana sana kwenye Bhāgavata Purāṇa: kṛṣṇas tu bhagavān svayam ([[Vanisource:SB 1.3.28|SB 1.3.28]]). Kwa hiyo tunapaswa kuchukulia Bhagavad-gītā kama ilivyonenwa na Mungu mkuu mwenyewe. katika ukurasa wa nne wa Bhagavad-gītā Bwana anasema:  
Msemaji wa Bhagavad-gita ni Bwana Krishna. Anatajwa katika kila ukurasa wa Bhagavad-gītā, kama Mungu mkuu aliye na utu, Bhagavān. Bila shaka, "bhagavān" inatumika wakati mwengine tunapo ongea kuhusu mtu yeyote aliye na nguvu au malaika yeyote aliye na nguvu, lakini hapa bhagavān kwa hakika inamrejelea Śrī Kṛṣṇa, mtu mkubwa ajabu, wakati huo huo lazima tujue kuwa Bwana Śrī Kṛṣṇa, kama alivyo thibitishwa na walimu wote watangulizi... Śaṅkarācārya, Rāmānujācārya, Madhvācārya, Nimbārka Svāmī na Śrī Caitanya Mahāprabhu na wengine wengi. Kule India kulikuwa na wasomi na walimu wengi walio kubalika, yaani walio kubalika kumiliki maarifa ya Vedasi. Wote pamoja na Śaṅkarācārya, wamemkubali Śrī Kṛṣṇa kama Mungu mkuu. Bwana pia amejitambulisha mwenyewe kama Mungu mkuu katika kurasa za Bhagavad-gītā. Amekubalika kwenye Brahmā-saṁhitā na Purāṇa zote, sana sana kwenye Bhāgavata Purāṇa: kṛṣṇas tu bhagavān svayam ([[Vanisource:SB 1.3.28|SB 1.3.28]]). Kwa hiyo tunapaswa kuchukulia Bhagavad-gītā kama ilivyonenwa na Mungu mkuu mwenyewe. katika ukurasa wa nne wa Bhagavad-gītā Bwana anasema:  


:imaṁ vivasvate yogaṁ
:imaṁ vivasvate yogaṁ
Line 36: Line 39:
:vivasvān manave prāha
:vivasvān manave prāha
:manur ikṣvākave 'bravīt
:manur ikṣvākave 'bravīt
:([[Vanisource:BG 4.1|BG 4.1]])
:([[Vanisource:BG 4.1 (1972)|BG 4.1]])


:evaṁ paramparā-prāptam
:evaṁ paramparā-prāptam
Line 42: Line 45:
:sa kāleneha mahatā
:sa kāleneha mahatā
:yogo naṣṭaḥ parantapa
:yogo naṣṭaḥ parantapa
:([[Vanisource:BG 4.2|BG 4.2]])
:([[Vanisource:BG 4.2 (1972)|BG 4.2]])


:sa evāyaṁ mayā te 'dya
:sa evāyaṁ mayā te 'dya
Line 48: Line 51:
:bhakto 'si me sakhā ceti
:bhakto 'si me sakhā ceti
:rahasyaṁ hy etad uttamam
:rahasyaṁ hy etad uttamam
:([[Vanisource:BG 4.3|BG 4.3]])
:([[Vanisource:BG 4.3 (1972)|BG 4.3]])


Bwana alimwambia Arjuna kuwa "Huu mfumo wa yoga ya Bhagavad-gītā, nilimnenea mfalme wa jua kwanza na mfalme wa jua akamweleza Manu. Manu akamwelezea Ikṣvāku, na kupitia hiyo njia ya mfululizo wa nidhamu, moja baada ya nyingine huu mfumo wa yoga inatujia, na katika mwendo wa wakati, huu mfumo umepotea sasa. Kwa hiyo, nakueleza kuhusu mfumo ule ule wa yoga kwa mara nyingine, ule ule mfumo wakitambo wa yoga ya Bhagavad-gītā, au Gītopaniṣad. Kwasababu wewe ni mja wangu na rafiki yangu pia, kwa hiyo kunauwezekano kuwa utaelewa."  
Bwana alimwambia Arjuna kuwa "Huu mfumo wa yoga ya Bhagavad-gītā, nilimnenea mfalme wa jua kwanza na mfalme wa jua akamweleza Manu. Manu akamwelezea Ikṣvāku, na kupitia hiyo njia ya mfululizo wa nidhamu, moja baada ya nyingine huu mfumo wa yoga inatujia, na katika mwendo wa wakati, huu mfumo umepotea sasa. Kwa hiyo, nakueleza kuhusu mfumo ule ule wa yoga kwa mara nyingine, ule ule mfumo wakitambo wa yoga ya Bhagavad-gītā, au Gītopaniṣad. Kwasababu wewe ni mja wangu na rafiki yangu pia, kwa hiyo kunauwezekano kuwa utaelewa."  

Latest revision as of 05:15, 12 July 2019



660219-20 - Lecture BG Introduction - New York

Msemaji wa Bhagavad-gita ni Bwana Krishna. Anatajwa katika kila ukurasa wa Bhagavad-gītā, kama Mungu mkuu aliye na utu, Bhagavān. Bila shaka, "bhagavān" inatumika wakati mwengine tunapo ongea kuhusu mtu yeyote aliye na nguvu au malaika yeyote aliye na nguvu, lakini hapa bhagavān kwa hakika inamrejelea Śrī Kṛṣṇa, mtu mkubwa ajabu, wakati huo huo lazima tujue kuwa Bwana Śrī Kṛṣṇa, kama alivyo thibitishwa na walimu wote watangulizi... Śaṅkarācārya, Rāmānujācārya, Madhvācārya, Nimbārka Svāmī na Śrī Caitanya Mahāprabhu na wengine wengi. Kule India kulikuwa na wasomi na walimu wengi walio kubalika, yaani walio kubalika kumiliki maarifa ya Vedasi. Wote pamoja na Śaṅkarācārya, wamemkubali Śrī Kṛṣṇa kama Mungu mkuu. Bwana pia amejitambulisha mwenyewe kama Mungu mkuu katika kurasa za Bhagavad-gītā. Amekubalika kwenye Brahmā-saṁhitā na Purāṇa zote, sana sana kwenye Bhāgavata Purāṇa: kṛṣṇas tu bhagavān svayam (SB 1.3.28). Kwa hiyo tunapaswa kuchukulia Bhagavad-gītā kama ilivyonenwa na Mungu mkuu mwenyewe. katika ukurasa wa nne wa Bhagavad-gītā Bwana anasema:

imaṁ vivasvate yogaṁ
proktavān aham avyayam
vivasvān manave prāha
manur ikṣvākave 'bravīt
(BG 4.1)
evaṁ paramparā-prāptam
imaṁ rājarṣayo viduḥ
sa kāleneha mahatā
yogo naṣṭaḥ parantapa
(BG 4.2)
sa evāyaṁ mayā te 'dya
yogaḥ proktaḥ purātanaḥ
bhakto 'si me sakhā ceti
rahasyaṁ hy etad uttamam
(BG 4.3)

Bwana alimwambia Arjuna kuwa "Huu mfumo wa yoga ya Bhagavad-gītā, nilimnenea mfalme wa jua kwanza na mfalme wa jua akamweleza Manu. Manu akamwelezea Ikṣvāku, na kupitia hiyo njia ya mfululizo wa nidhamu, moja baada ya nyingine huu mfumo wa yoga inatujia, na katika mwendo wa wakati, huu mfumo umepotea sasa. Kwa hiyo, nakueleza kuhusu mfumo ule ule wa yoga kwa mara nyingine, ule ule mfumo wakitambo wa yoga ya Bhagavad-gītā, au Gītopaniṣad. Kwasababu wewe ni mja wangu na rafiki yangu pia, kwa hiyo kunauwezekano kuwa utaelewa."

Maelezo ni kuwa Bhagavad-gītā ni mkataba ambao umenenwa hasa kwa ajili ya waja wa Bwana. Kuna aina tatu ya waumini, kwa majina, jnani, yogi na bhakta. ama muimpasonalisti, mtafakari na mja. imesemwa wazi. Bwana anamwambia Arjuna kuwa "Nakueleza au nakufanya kuwa mwalimu wa kwanza katika mfululizo wa walimu katika maarifa hii. Kwa sababu nidhamu ya mfululizo wa kitambo umevunjwa, nataka kuanzisha mfululizo mwengine tena. katika mfululizo huo huo wa kimawazo, kama ilivyo kuja chini kutoka kwa mfalme wa jua kufikia wengine. Kwa hiyo, ichukue na uisambaze. au mfumo huu wa yoga ya Bhagavad-gītā ita sambazwa sasa kupitia kwako. chukua mamlaka ya kuelewa Bhagavad-gītā." inaelekezwa hapa kuwa Bhagavad-gītā imenenwa hasa kwa Arjuna, mja wa Bwana, mwanafunzi myoofu wa Krishna. na sio hiyo peke yake, ana uhusiano wa undani na Krishna kama rafiki. Kwa hiyo Bhagavad-gītā inaeleweka na mtu aliye na tabia sawa na Krishna. Ina maanisha kuwa lazima awe mja, lazima awe na uhusiano wa moja kwa moja na Bwana.