SW/Prabhupada 1069 - Dini inawasilisha dhana ya Imani, Imani inaweza kubadilika - lakini Sanatana haiwezi: Difference between revisions

(Created page with "<!-- BEGIN CATEGORY LIST --> Category:1080 Swahili Pages with Videos Category:Prabhupada 1069 - in all Languages Category:SW-Quotes - 1966 Category:SW-Quotes - L...")
 
(Vanibot #0023: VideoLocalizer - changed YouTube player to show hard-coded subtitles version)
 
Line 10: Line 10:
[[Category:Swahili Language]]
[[Category:Swahili Language]]
<!-- END CATEGORY LIST -->
<!-- END CATEGORY LIST -->
<!-- BEGIN NAVIGATION BAR -- DO NOT EDIT OR REMOVE -->
{{1080 videos navigation - All Languages|Swahili|SW/Prabhupada 1068 - Kuna vitendo vya aiana tatu kulingana na Hali tatu za asili ya dunia|1068|SW/Prabhupada 1070 - Dini ya milele ya Kiumbe ni kutoa huduma|1070}}
<!-- END NAVIGATION BAR -->
<!-- BEGIN ORIGINAL VANIQUOTES PAGE LINK-->
<!-- BEGIN ORIGINAL VANIQUOTES PAGE LINK-->
<div class="center">
<div class="center">
Line 18: Line 21:

<!-- BEGIN VIDEO LINK -->
<!-- BEGIN VIDEO LINK -->
{{youtube_right|tNIwLyZ9EV0|Religion Conveys the Idea of Faith. Faith May Change - Sanatana-dharma Cannot - Prabhupāda 1069}}
{{youtube_right|C5WrzuHZZhg|Religion Conveys the Idea of Faith. Faith May Change - Sanatana-dharma Cannot - Prabhupāda 1069}}
<!-- END VIDEO LINK -->
<!-- END VIDEO LINK -->

<!-- BEGIN AUDIO LINK -->
<!-- BEGIN AUDIO LINK -->
<mp3player>File:660220BG-NEW_YORK_clip13.mp3</mp3player>
<mp3player>https://s3.amazonaws.com/vanipedia/clip/660220BG-NEW_YORK_clip13.mp3</mp3player>
<!-- END AUDIO LINK -->
<!-- END AUDIO LINK -->

Line 30: Line 33:

<!-- BEGIN TRANSLATED TEXT -->
<!-- BEGIN TRANSLATED TEXT -->
Kwa hivyo kama ilivyo tajwa ya kwamba Mwenyezi Mungu yu sanātana, na makaazi yake takatifu, juu ya mbingu pia ni sanātana. na viumbe vyote pia ni sanātana. Kwa hivyo mahusiano ya Mwenyezi Mungu aliye sanātana na viumbe vyote walio sanātana, kwenye makaazi yake ambayo ni sanātana pia, hatimaye ndio lengo la maisha ya mwanadamu. Bwana yu mkarimu kwa viumbe vyote kwa sababu viumbe vyote wanasemekana kuwa wana wa Mwenyezi Mungu. Bwana anasema sarva-yoniṣu kaunteya sambhavanti mūrtayo yāḥ ([[Vanisource:BG 14.4|BG 14.4]]). Viumbe vyote... Kuna viumbe vya aina tofauti kulingana na karma walizonazo, lakini Bwana anasema kuwa yeye ndiye baba ya viumbe vyote, na Bwana anashuka ili kukomboa viumbe vyote waliosahaulika kuwarejesha kwenye sanātana-dhāma, mbingu iliyo sanātana ili viumbe hao walio sanātana warejee kwenye cheo cha mahusianao yao na Bwana. Anakuja mweneyewe na maumbile yake tofauti. Ana watuma wajakazi wake wa undani kama wana au washiriki au walimu ili kurejesha roho zilizo potea.  
Kwa hivyo kama ilivyo tajwa ya kwamba Mwenyezi Mungu yu sanātana, na makaazi yake takatifu, juu ya mbingu pia ni sanātana. na viumbe vyote pia ni sanātana. Kwa hivyo mahusiano ya Mwenyezi Mungu aliye sanātana na viumbe vyote walio sanātana, kwenye makaazi yake ambayo ni sanātana pia, hatimaye ndio lengo la maisha ya mwanadamu. Bwana yu mkarimu kwa viumbe vyote kwa sababu viumbe vyote wanasemekana kuwa wana wa Mwenyezi Mungu. Bwana anasema sarva-yoniṣu kaunteya sambhavanti mūrtayo yāḥ ([[Vanisource:BG 14.4 (1972)|BG 14.4]]). Viumbe vyote... Kuna viumbe vya aina tofauti kulingana na karma walizonazo, lakini Bwana anasema kuwa yeye ndiye baba ya viumbe vyote, na Bwana anashuka ili kukomboa viumbe vyote waliosahaulika kuwarejesha kwenye sanātana-dhāma, mbingu iliyo sanātana ili viumbe hao walio sanātana warejee kwenye cheo cha mahusianao yao na Bwana. Anakuja mweneyewe na maumbile yake tofauti. Ana watuma wajakazi wake wa undani kama wana au washiriki au walimu ili kurejesha roho zilizo potea.  

N kwa hivyo sanātana-dharma sio aina yoyote ya dini. Nicheo halisi viumbe wote ambao wana uhusiano wa milele na Mwenyezi Mungu. Kufikia sasa sanātana-dharma inamaanisha cheo cha milele. Śrīpāda Rāmānujācārya amaeeleza neno sanātana kuwa ''kuwa kitu ambacho hakina mwanzo wala mwisho.'' Na tunapo ongea kuhusu sanātana-dharma hatufai kusahau maneno ya Śrīpāda Rāmānujācārya kuwa haina mwanza wala mwisho. Neno dini ni tofauti kidogo na sanātana-dharma. Dini inaangazia dhana ya imani. Imani inaweza kubadilika. Mtu anaweza kuwa na imani na mchakato fulani na anaweza kubadilisha imani yake na atwae imani nyingine. Walakini sanātana-dharma haiwezi kubadilika. Kama vile maji na unyevu. Unyevu haiwezi kubadilishwa kuto kuwa maji. Joto na moto. Joto haiwezi kubadilishwa kuto kuwa moto. Vile vile, cheo cha milele cha kiumbe inajulikana kama sanātana-dharma, haiwezi kubadilishwa. Haiwezi kubadilika. Lazima tujue cheo chake kiumbe. Tunapo ong'ea kuhusu sanātana-dharma tusisahau maneno ya Śrīpāda Rāmānujācārya kuwa haina mwanzo wala mwisho. Kitu ambacho hakina mwanzo wala mwisho sio lazima kiwe kitu ambacho hakizidi mipaka ya mafikira yetu. Tunapo ong'ea kuhusu sanātana-dharma, kuna watu wa dini zingine wanaweza kukosea na kufikiria kuwa ni dini fulani. Lakini tukizama kwenye swala hilo na tuzingatie mtazamo wa sayansi ya kisasa, tutaweza kuiona sanātana-dharma kuwa kitu cha watu wote duniani, yaani viumbe vyote ulimwenguni. Dini zisizokuwa sanātana zinaweza kuebuka kutoka kwa historia ya jamii ya wanadamu, lakini hakuwezi kuwa na historia ya sanātana-dharma kwa sababu sanātana-dharma inabaki kuebuka na historia ya viumbe. Kwenye maandiko kufikia sasa tunapata kuwa viumbe pia hazaliwi wala hawafi/ Imesemekana kwenye Bhagavad-gītā ya kuwa kiumbe, hazaliwi kamwe, hafi kamwe anaishi milile, hawezi kuangamizwa, na anazidi kuishi hata baada ya mwili wake kuanagmizwa.

<!-- END TRANSLATED TEXT -->
<!-- END TRANSLATED TEXT -->

Latest revision as of 05:16, 12 July 2019

660219-20 - Lecture BG Introduction - New York

Kwa hivyo kama ilivyo tajwa ya kwamba Mwenyezi Mungu yu sanātana, na makaazi yake takatifu, juu ya mbingu pia ni sanātana. na viumbe vyote pia ni sanātana. Kwa hivyo mahusiano ya Mwenyezi Mungu aliye sanātana na viumbe vyote walio sanātana, kwenye makaazi yake ambayo ni sanātana pia, hatimaye ndio lengo la maisha ya mwanadamu. Bwana yu mkarimu kwa viumbe vyote kwa sababu viumbe vyote wanasemekana kuwa wana wa Mwenyezi Mungu. Bwana anasema sarva-yoniṣu kaunteya sambhavanti mūrtayo yāḥ (BG 14.4). Viumbe vyote... Kuna viumbe vya aina tofauti kulingana na karma walizonazo, lakini Bwana anasema kuwa yeye ndiye baba ya viumbe vyote, na Bwana anashuka ili kukomboa viumbe vyote waliosahaulika kuwarejesha kwenye sanātana-dhāma, mbingu iliyo sanātana ili viumbe hao walio sanātana warejee kwenye cheo cha mahusianao yao na Bwana. Anakuja mweneyewe na maumbile yake tofauti. Ana watuma wajakazi wake wa undani kama wana au washiriki au walimu ili kurejesha roho zilizo potea.

N kwa hivyo sanātana-dharma sio aina yoyote ya dini. Nicheo halisi viumbe wote ambao wana uhusiano wa milele na Mwenyezi Mungu. Kufikia sasa sanātana-dharma inamaanisha cheo cha milele. Śrīpāda Rāmānujācārya amaeeleza neno sanātana kuwa kuwa kitu ambacho hakina mwanzo wala mwisho. Na tunapo ongea kuhusu sanātana-dharma hatufai kusahau maneno ya Śrīpāda Rāmānujācārya kuwa haina mwanza wala mwisho. Neno dini ni tofauti kidogo na sanātana-dharma. Dini inaangazia dhana ya imani. Imani inaweza kubadilika. Mtu anaweza kuwa na imani na mchakato fulani na anaweza kubadilisha imani yake na atwae imani nyingine. Walakini sanātana-dharma haiwezi kubadilika. Kama vile maji na unyevu. Unyevu haiwezi kubadilishwa kuto kuwa maji. Joto na moto. Joto haiwezi kubadilishwa kuto kuwa moto. Vile vile, cheo cha milele cha kiumbe inajulikana kama sanātana-dharma, haiwezi kubadilishwa. Haiwezi kubadilika. Lazima tujue cheo chake kiumbe. Tunapo ong'ea kuhusu sanātana-dharma tusisahau maneno ya Śrīpāda Rāmānujācārya kuwa haina mwanzo wala mwisho. Kitu ambacho hakina mwanzo wala mwisho sio lazima kiwe kitu ambacho hakizidi mipaka ya mafikira yetu. Tunapo ong'ea kuhusu sanātana-dharma, kuna watu wa dini zingine wanaweza kukosea na kufikiria kuwa ni dini fulani. Lakini tukizama kwenye swala hilo na tuzingatie mtazamo wa sayansi ya kisasa, tutaweza kuiona sanātana-dharma kuwa kitu cha watu wote duniani, yaani viumbe vyote ulimwenguni. Dini zisizokuwa sanātana zinaweza kuebuka kutoka kwa historia ya jamii ya wanadamu, lakini hakuwezi kuwa na historia ya sanātana-dharma kwa sababu sanātana-dharma inabaki kuebuka na historia ya viumbe. Kwenye maandiko kufikia sasa tunapata kuwa viumbe pia hazaliwi wala hawafi/ Imesemekana kwenye Bhagavad-gītā ya kuwa kiumbe, hazaliwi kamwe, hafi kamwe anaishi milile, hawezi kuangamizwa, na anazidi kuishi hata baada ya mwili wake kuanagmizwa.