SW/Prabhupada 1078 - Kwa kuzama katika mafikira ya Bwana kwa akili na nia, masaa ishirini na nne: Difference between revisions

(Created page with "<!-- BEGIN CATEGORY LIST --> Category:1080 Swahili Pages with Videos Category:Prabhupada 1078 - in all Languages Category:SW-Quotes - 1966 Category:SW-Quotes - L...")
 
(Vanibot #0023: VideoLocalizer - changed YouTube player to show hard-coded subtitles version)
 
Line 10: Line 10:
[[Category:Swahili Language]]
[[Category:Swahili Language]]
<!-- END CATEGORY LIST -->
<!-- END CATEGORY LIST -->
<!-- BEGIN NAVIGATION BAR -- DO NOT EDIT OR REMOVE -->
{{1080 videos navigation - All Languages|Swahili|SW/Prabhupada 1077 - Bwana yu mkamilifu, Hakuna tofauti kati ya jina lake na yeye mwenyewe|1077|SW/Prabhupada 1079 - Bhagavad-gita ni Kitabu cha kiroho ambacho mtu anafaa kusoma kwa maakini sana|1079}}
<!-- END NAVIGATION BAR -->
<!-- BEGIN ORIGINAL VANIQUOTES PAGE LINK-->
<!-- BEGIN ORIGINAL VANIQUOTES PAGE LINK-->
<div class="center">
<div class="center">
Line 18: Line 21:


<!-- BEGIN VIDEO LINK -->
<!-- BEGIN VIDEO LINK -->
{{youtube_right|V4RzPKgzWmk|Absorbed Both By The Mind and Intelligence Twenty-four Hours Thinking of the Lord - Prabhupāda 1078}}
{{youtube_right|kpquyysnHq4|Absorbed Both By The Mind and Intelligence Twenty-four Hours Thinking of the Lord - Prabhupāda 1078}}
<!-- END VIDEO LINK -->
<!-- END VIDEO LINK -->


<!-- BEGIN AUDIO LINK -->
<!-- BEGIN AUDIO LINK -->
<mp3player>File:660220BG-NEW_YORK_clip22.mp3</mp3player>
<mp3player>https://s3.amazonaws.com/vanipedia/clip/660220BG-NEW_YORK_clip22.mp3</mp3player>
<!-- END AUDIO LINK -->
<!-- END AUDIO LINK -->


Line 30: Line 33:


<!-- BEGIN TRANSLATED TEXT -->
<!-- BEGIN TRANSLATED TEXT -->
Nigbat'eyin ba ni ife to le gan fun Eledumare, lehin o daju pe ale sise wa kasii ronu nipa re. Beena agbodo ji iye ara wa soke. Gege bi Arjuna sen ronu nipa Oluwa nigbogbo'gba. Kode gbagbe Krsna fun iseju kan. Alabasepo Krsna nigbogbo'gba. Lesekana, jagunjagun. Oluwa Krsna o so fun Arjuna pe ko ma jagun mo, pe ko losinu aginju, lori Himalaya ko lo sasaro. Nigbato sofun Arjuna kose yoga, Arjuna o gba, pe "Ilana yi ti le ju fun mi." Lehin na Oluwa sowipe, yoginām api sarveṣāṁ mad-gatenāntarātmanā ([[Vanisource:BG 6.47|BG 6.47]]). Mad-gatenāntarātmanā śraddhāvān bhajate yo māṁ sa me yuktatamo mataḥ. Beena enikeni toba ronu nipa Eledumare, ouin ni yogi to gaju, oun ni jnani to gaju, oun de ni olufokansi to gaju lese kanna. Olorun ti funwa ni itosona pe tasmāt sarveṣu kāleṣu mām anusmara yudhya ca ([[Vanisource:BG 8.7|BG 8.7]]). " ksatriya loje kosi bosele fi ogun jija si;e. Ogbodo jagun. Beena lasiko kanna o gbodo ranti Mi nigbogbogba, lehin na o le sese." anta-kāle ca mām eva smaran ([[Vanisource:BG 8.5|BG 8.5]]), "lehin t'asiko iku ba de wasii le ranti Mi." Mayy arpita-mano-buddhir mām evaiṣyasy asaṁśayaḥ. Leekan si otun sowipe kosi isiyemeji kankan. Teyan ba farafun si ise Oluwa, ninu ise ife s'Oluwa, mayy arpita-mano-buddhir ([[Vanisource:BG 8.7|BG 8.7]]). Nitoripe awa o kin sise pelu ara wa nikan. Awa n'sise pel'okan wa at'ogbon. Beena ti ogbon at'okan wa ba wa ninu ironu Oluwa, leyin na iye ara wa ma ni nkan se ninu ise Oluwa. Asiri Bhagavad-gita niyen. Eyan gbodo k'ogbon yi, beyan sele fokan le nkan dada, pel'okan at'ogbon, wakati merinle logun lori ironu Oluwa. Eleyi ma ranwalowo lati pada s'odo metalokan tabi si adugbo mimo leyin igba toba f'ara eda yi sile. Awon onisayensi won sowipe o ti pe ton ti gbiyanju lori eto na, lati de isogbe osupa,sugbon titi dision won o ti dee be/ Sugbon ninu Bhagavad-gita, won ti daba fun wa. kasowipe awson okurin le wa laaye fun odun aadota si... Koseni to fe ni ilosiwaju ninu eto imoye mimo fun odun aadota. Apeere to da leleyi. sugbon teyan ba gbiyanju lati s'ise yi fun odun mewa tabi marun, mayy arpita-mano-buddhir ([[Vanisource:BG 8.7|BG 8.7]])... Oro eto adase leleyi. Eto adaase yi le bosi pelu ise ifarasi Oluwa, śravaṇaṁ. Śravaṇaṁ. Ilana to rorun ju lati gboran.
Wakati una hisia kuu ya mapenzi kwa Mwenyezi Mungu, basi inawezekana tutaendalea kufanya kazi zetu, na wakati huo huo tumkumbuke Bwana. Kwa hivyo ni lazima tukuze hali hiyo. Kama vile Arjuna waki wote alikuwa akimfikiria Bwana. Yeye, kati ya masaa ishirini na nne hakumsahau Krishna hata kwa sekunde moja. Mshiriki wa Krishna wakati wote. Na wakati huo huo, shujaa. Bwana Krishna hakumshauri Arjuna kuwacha vita vyake, nenda msituni, nenda kule Himalaya na utafakri. Wakati mfumo wa yoga ulishauriwa kwa Arjuna, Arjuna alikataa kuwa "Mfumo huu siuwezi." Alafu Bwana akasema yoginām api sarveṣāṁ mad-gatenāntarātmanā ([[Vanisource:BG 6.47 (1972)|BG 6.47]]). Mad-gatenāntarātmanā śraddhāvān bhajate yo māṁ sa me yuktatamo mataḥ. Kwa hivyo anaye mfikiria Mwenyezi Mungu wakati wote ndiye yogi mkuu, yeye ndiye jñānī mkuu, na pia wakati huo huo ndiye mja mkuu. Bwana anahimiza kuwa tasmāt sarveṣu kāleṣu mām anusmara yudhya ca ([[Vanisource:BG 8.7 (1972)|BG 8.7]]). "Kama kṣatriya (shujaa) hauwezi kuacha kazi yako ya kupigana. Lazima upigane. Kwa hivyo wakati huo huo, ukijifunza kunikumbuka wakati wote, basi itawezekana," anta-kāle ca mām eva smaran ([[Vanisource:BG 8.5 (1972)|BG 8.5]]), "basi itawezekana kunikumbuka wakati wa kifo chako pia." Mayy arpita-mano-buddhir mām evaiṣyasy asaṁśayaḥ. Tena anasema kuwa hamna shaka. Ikiwa mtu amejisajili katika huduma ya Bwana kabisa, kwenye huduma kuu ya mapenzi kwa Bwana , mayy arpita-mano-buddhir ([[Vanisource:BG 8.7 (1972)|BG 8.7]]). Kwa sababu hatufanyi kazi kwa kutumia mwili wetu kamwe. Tuna fanya kazi kwa nia na fikra zetu. Kwa hivyo ikiwa nia na fikra zetu zina husika wakati wote kwenye mawazo ya Mwenyezi Mungu, basi kama kawaida fahamu zetu pia zitahusika kwenye huduma ya Bwana. Iyo ndiyo siri ya Bhagavad-gītā. Mtu lazima ajifunze sanaa hii, vile ambavyo anaweza kuzama kwa nia pamoja na fikra, masaa ishirini na nne akimfikiria Bwana. Na hiyo itamsaidia kujisafirisha kwenye ufalme wa Mungu au kwenye mazingira ya kiroho baada ya kuacha mwili huu. Wana sayansi wa kisasa, wanapigana wenyewe miaka nenda rundi kufikia sayari ya mwezi, na mpaka sasa hawajafika. Lakini hapa kwenye Bhagavad-gītā, kuna mpendekezo. Tuseme mtu aishi kwa miaka hamsini ijayo na a... Kwa hivyo hakuna atakayejiinua katika maswala ya kiroho kwa miaka hamsini. Iyo ni wazo zuri sana. Lakini hata kwa miaka kumi au tano mtu ajaribu kujifunza, mayy arpita-mano-buddhir ([[Vanisource:BG 8.7 (1972)|BG 8.7]])... ni swala tu la zoezi. Na zoezi hiyo inaweza ku rahisishwa sana kwa njia ya ibada, Śravaṇaṁ. njia rahisi sana ni kusikia


:śravaṇaṁ kīrtanaṁ viṣṇoḥ
:śravaṇaṁ kīrtanaṁ viṣṇoḥ
Line 36: Line 39:
:arcanaṁ vandanaṁ dāsyaṁ
:arcanaṁ vandanaṁ dāsyaṁ
:sakhyam ātma-nivedanam
:sakhyam ātma-nivedanam
:([[Vanisource:SB 7.5.23|SB 7.5.23]])
:([[Vanisource:SB 7.5.23-24|SB 7.5.23]])
 
Awon ilana mesan wanyi lowa. Igboran lo rorun ju ninu gbogbo won.
 
==========================
Kwa kuzama katika mafikira ya Bwana kwa akili na nia, masaa ishirini na nne Wakati una hisia kuu ya mapenzi kwa Mwenyezi Mungu, basi inawezekana tutaendalea kufanya kazi zetu, na wakati huo huo tumkumbuke Bwana. Kwa hivyo ni lazima tukuze hali hiyo. Kama vile Arjuna waki wote alikuwa akimfikiria Bwana. Yeye, kati ya masaa ishirini na nne hakumsahau Krishna hata kwa sekunde moja. Mshiriki wa Krishna wakati wote. Na wakati huo huo, shujaa. Bwana Krishna hakumshauri Arjuna kuwacha vita vyake, nenda msituni, nenda kule Himalaya na utafakri. Wakati mfumo wa yoga ulishauriwa kwa Arjuna, Arjuna alikataa kuwa ''Mfumo huu siuwezi.'' Alafu Bwana akasema yoginām api sarveṣāṁ mad-gatenāntarātmanā ([[Vanisource:BG 6.47|BG 6.47]]). Mad-gatenāntarātmanā śraddhāvān bhajate yo māṁ sa me yuktatamo mataḥ. Kwa hivyo anaye mfikiria Mwenyezi Mungu wakati wote ndiye yogi mkuu, yeye ndiye jñānī mkuu, na pia wakati huo huo ndiye mja mkuu. Bwana anahimiza kuwa tasmāt sarveṣu kāleṣu mām anusmara yudhya ca ([[Vanisource:BG 8.7|BG 8.7]]). ''Kama kṣatriya (shujaa) hauwezi kuacha kazi yako ya kupigana. Lazima upigane. Kwa hivyo wakati huo huo, ukijifunza kunikumbuka wakati wote, basi itawezekana,'' anta-kāle ca mām eva smaran ([[Vanisource:BG 8.5|BG 8.5]]), ''basi itawezekana kunikumbuka wakati wa kifo chako pia.'' Mayy arpita-mano-buddhir mām evaiṣyasy asaṁśayaḥ. Tena anasema kuwa hamna shaka. Ikiwa mtu amejisajili katika huduma ya Bwana kabisa, kwenye huduma kuu ya mapenzi kwa Bwana , mayy arpita-mano-buddhir ([[Vanisource:BG 8.7|BG 8.7]]). Kwa sababu hatufanyi kazi kwa kutumia mwili wetu kamwe. Tuna fanya kazi kwa nia na fikra zetu. Kwa hivyo ikiwa nia na fikra zetu zina husika wakati wote kwenye mawazo ya Mwenyezi Mungu, basi kama kawaida fahamu zetu pia zitahusika kwenye huduma ya Bwana. Iyo ndiyo siri ya Bhagavad-gītā. Mtu lazima ajifunze sanaa hii, vile ambavyo anaweza kuzama kwa nia pamoja na fikra, masaa ishirini na nne akimfikiria Bwana. Na hiyo itamsaidia kujisafirisha kwenye ufalme wa Mungu au kwenye mazingira ya kiroho baada ya kuacha mwili huu. Wana sayansi wa kisasa, wanapigana wenyewe miaka nenda rundi kufikia sayari ya mwezi, na mpaka sasa hawajafika. Lakini hapa kwenye Bhagavad-gītā, kuna mpendekezo. Tuseme mtu aishi kwa miaka hamsini ijayo na a... Kwa hivyo hakuna atakayejiinua katika maswala ya kiroho kwa miaka hamsini. Iyo ni wazo zuri sana. Lakini hata kwa miaka kumi au tano mtu ajaribu kujifunza, mayy arpita-mano-buddhir ([[Vanisource:BG 8.7|BG 8.7]])... ni swala tu la zoezi. Na zoezi hiyo inaweza ku rahisishwa sana kwa njia ya ibada, Śravaṇaṁ. njia rahisi sana ni kusikia
 
:śravaṇaṁ kīrtanaṁ viṣṇoḥ
:smaraṇaṁ pāda-sevanam
:arcanaṁ vandanaṁ dāsyaṁ
:sakhyam ātma-nivedanam
:([[Vanisource:SB 7.5.23|SB 7.5.23]])


Hizi njia tisa. Kwa hivyo njia rahisi ni kusikia tu.
Hizi njia tisa. Kwa hivyo njia rahisi ni kusikia tu.
<!-- END TRANSLATED TEXT -->
<!-- END TRANSLATED TEXT -->

Latest revision as of 05:17, 12 July 2019



660219-20 - Lecture BG Introduction - New York

Wakati una hisia kuu ya mapenzi kwa Mwenyezi Mungu, basi inawezekana tutaendalea kufanya kazi zetu, na wakati huo huo tumkumbuke Bwana. Kwa hivyo ni lazima tukuze hali hiyo. Kama vile Arjuna waki wote alikuwa akimfikiria Bwana. Yeye, kati ya masaa ishirini na nne hakumsahau Krishna hata kwa sekunde moja. Mshiriki wa Krishna wakati wote. Na wakati huo huo, shujaa. Bwana Krishna hakumshauri Arjuna kuwacha vita vyake, nenda msituni, nenda kule Himalaya na utafakri. Wakati mfumo wa yoga ulishauriwa kwa Arjuna, Arjuna alikataa kuwa "Mfumo huu siuwezi." Alafu Bwana akasema yoginām api sarveṣāṁ mad-gatenāntarātmanā (BG 6.47). Mad-gatenāntarātmanā śraddhāvān bhajate yo māṁ sa me yuktatamo mataḥ. Kwa hivyo anaye mfikiria Mwenyezi Mungu wakati wote ndiye yogi mkuu, yeye ndiye jñānī mkuu, na pia wakati huo huo ndiye mja mkuu. Bwana anahimiza kuwa tasmāt sarveṣu kāleṣu mām anusmara yudhya ca (BG 8.7). "Kama kṣatriya (shujaa) hauwezi kuacha kazi yako ya kupigana. Lazima upigane. Kwa hivyo wakati huo huo, ukijifunza kunikumbuka wakati wote, basi itawezekana," anta-kāle ca mām eva smaran (BG 8.5), "basi itawezekana kunikumbuka wakati wa kifo chako pia." Mayy arpita-mano-buddhir mām evaiṣyasy asaṁśayaḥ. Tena anasema kuwa hamna shaka. Ikiwa mtu amejisajili katika huduma ya Bwana kabisa, kwenye huduma kuu ya mapenzi kwa Bwana , mayy arpita-mano-buddhir (BG 8.7). Kwa sababu hatufanyi kazi kwa kutumia mwili wetu kamwe. Tuna fanya kazi kwa nia na fikra zetu. Kwa hivyo ikiwa nia na fikra zetu zina husika wakati wote kwenye mawazo ya Mwenyezi Mungu, basi kama kawaida fahamu zetu pia zitahusika kwenye huduma ya Bwana. Iyo ndiyo siri ya Bhagavad-gītā. Mtu lazima ajifunze sanaa hii, vile ambavyo anaweza kuzama kwa nia pamoja na fikra, masaa ishirini na nne akimfikiria Bwana. Na hiyo itamsaidia kujisafirisha kwenye ufalme wa Mungu au kwenye mazingira ya kiroho baada ya kuacha mwili huu. Wana sayansi wa kisasa, wanapigana wenyewe miaka nenda rundi kufikia sayari ya mwezi, na mpaka sasa hawajafika. Lakini hapa kwenye Bhagavad-gītā, kuna mpendekezo. Tuseme mtu aishi kwa miaka hamsini ijayo na a... Kwa hivyo hakuna atakayejiinua katika maswala ya kiroho kwa miaka hamsini. Iyo ni wazo zuri sana. Lakini hata kwa miaka kumi au tano mtu ajaribu kujifunza, mayy arpita-mano-buddhir (BG 8.7)... ni swala tu la zoezi. Na zoezi hiyo inaweza ku rahisishwa sana kwa njia ya ibada, Śravaṇaṁ. njia rahisi sana ni kusikia

śravaṇaṁ kīrtanaṁ viṣṇoḥ
smaraṇaṁ pāda-sevanam
arcanaṁ vandanaṁ dāsyaṁ
sakhyam ātma-nivedanam
(SB 7.5.23)

Hizi njia tisa. Kwa hivyo njia rahisi ni kusikia tu.